24.05.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.05.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.05.2022 Matangazo ya Jioni

Scholz aizungumzia Ukraine katika ziara yake Afrika Kusini/ Miili 200 ya watu yapatikana mjini Mariupol/ Baraza kuu la ushauri kwa waislamu nchini Kenya KEMNAC, limeitaka Baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM kueleza walivyotumia kima cha takriban shilingi millioni hamsini na mbili/ Rwanda imesema kuwa raia wake kadhaa walijeruhiwa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na vikosi kutoka Congo