1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.05.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Mei 2018

Katika ziara yake nchini China kansela wa Ujerumani Angela Merkel na waziri mkuu wa China Li Keqiang wametetea makubaliano ya kinyuklia ya Iran leo// Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas amefanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani Mike Pompeo lakini waziri Maas amesema bado pana tofauti kubwa kati ya nchi yake na Marekani juu ya mkataba wa nyuklia wa Iran.

https://p.dw.com/p/2yG84