1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S24 Januari 2017

Mataifa kadhaa yameelezea matumaini kuwa ushirikiano wa biashara katika ukanda wa Pasifik utadumishwa, baada ya uamuzi wa Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kwenye mkataba huo// Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Syria na upanda wa upinzani yameingia siku ya pili leo nchini Kazakhstan// Rais wa Gambia, Adama Barrow amemteua Fatoumata Jallow-Tambajang kuwa Makamu wa Rais.

https://p.dw.com/p/2WIkW