Hakuna msaada bila demokrasia, Marekani yaiambia Sudan/ Abiy asema yuko tayari kuongoza mapambano dhidi ya TPLF/ Tanzania yashikwa na hofu ya kukumbwa na ukame/ Mashambulizi mashariki mwa Congo yaendelea kutesa raia/ Belarus yaanza kuwarudisha wahamiaji walikotoka-Ripoti