Pande hasimu Libya zasaini makubaliano kusitisha vita// Mpasuko mkubwa muungano wa Tshisekedi, Kabila Congo// Rais wa Nigeria aacha mauwaji ya watu 12 nje ya hotuba yake// Magufuli awaangukia wapigakura wa Arusha kubadili njia// Uingereza na Umoja wa Ulaya zimepiga hatua kubwa katika mazungumzo ya kusaka mkataba wa kibiashara baada ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja huo.