23.10.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 23.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

23.10.2020 Matangazo ya Asubuhi

Wazazi na wadau wanaohusika na watoto wanaoishi na ulemavu wanaelezea kuwa wanapitia wakati mgumu kipindi hiki cha COVID-19// Maafisa wa Afya wa Marekani waligundua kuwa karibu asilimia 40 ya watu waliokufa kwa virusi vya corona walikuwa na ugonjwa wa kisukari// Uchaguzi wa rais wa Marekani unatarajiwa kuamua kwa kiwango kikubwa mustakbali wa dunia katika suala la mabadiliko ya tabia nchi.

Sikiliza sauti 51:59