1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Julai 2019

Kenya: Waziri wa Fedha na katibu wake wamekanusha mashtaka ya ufujaji fedha za mabwawa mawili/ Hali ya kisiasa nchini Tanzania/ Beni: Waasi kutoka Uganda wa kundi la ADF wanatajwa kuwauwa raia zaidi ya ishirini katika mashambulizi/ Uingereza kuunda kikosi cha ulinzi Ghuba / Ndege za kivita za Korea Kusini zimefyatua risasi kadhaa za tahadhari dhidi ya ndege za kivita za Urusi

https://p.dw.com/p/3MbHi