Viongozi wa muungano unaoongozwa na Iran, unaofahamika kama "mhimili wa kujihami", akiwemo Ismail Haniyeh wa Hamas, wamefanya mjadala kuhusu vita vya Gaza+++Aliyekuwa Rais wa Iran Ebrahim Raisi anazikwa hii leo nyumbani kwake Mashhad wakati taifa hilo likiendelea kuomboleza