1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Oktoba 2020

Tanzania leo imezindua kamati ya kitaifa ya uratibu na maridhiano kati ya jeshi la polisi na waandishi habari// Jeshi la Nigeria limesema liko tayari kuwatuma wanajeshi wake katika jimbo la Lagos kuzima maandamano iwapo litahitajika kufanya hivyo//Maambukizi ya virusi vya corona yazua hofu nchini Ujerumani// Marekani yasema itapambana na nchi zozote za kigeni zinazoingilia uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3kHrA