22.09.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 22.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

22.09.2021 Matangazo ya Asubuhi

Uchunguzi: Wakati wa utawala wa Merkel harakati za haki sawa kwa watu wa jinsia zote hazikupiga hatua kubwa/ Ufaransa- Australia: Mzozo wa kidiplomasia unaiweka rehani ajenda ya Biden ya kuimarisha mshikamano na washirika wake kuikabili China/ Lamu: Chakula cha msaada kwa familia zinazokumbwa na baa la njaa/ Je, wakenya wanajiandaa vipi kuanza upya maisha yaliyovurugwa na COVID 19?

Sikiliza sauti 51:59