Uganda: Bobi Wine amezindua chama kipya cha siasa kwa jina National Unity Platform/ Biashara haramu ya madawa ya kulevya barani Afrika/ Mjukuu wa Nelson Mandela yuko nchini Sudan Kusini kujaribu kuweka mikakati ya kulinda haki za waandishi habari na pia haki za binadamu kwa raia wa Sudan Kusini/ Mzozo kati ya Marekani na China unazidi kutokota/ Hali ya kisiasa Israel