Jeshi la Burundi limetangaza kufanyika shambulio katika eneo la Mabaya mkoani Cibitoke magharibi mwa nchi hiyo lililoendeshwa na watu wenye silaha walioingia eneo hilo wakitokea Rwanda// Ujerumani na Ufaransa zinataka wataalamu kutafuta njia za kufanyia marekebisho jumuiya ya kujihami ya NATO baada ya shambulizi la Uturuki katika eneo la Kaskazini mwa Syria.