1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.10.2020 Matangazo ya Mchana

TSA / S08S21 Oktoba 2020

Rais Kenyatta na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga wameipokea ripoti ya Mpango wa Maridhiano nchini Kenya, maarufu kama BBI/ Burundi: Buyoya apewa kifungo cha maisha kwa mauaji ya Ndadaye/ Tanzania: Vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu vinawasilisha orodha na majina ya mawakala wao ambao pia wanaapishwa leo hii na wasimamizi wa uchaguzi huo/ Wanajeshi Nigeria wafyatua risasi dhidi ya waandamanaji

https://p.dw.com/p/3kDgJ