1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Septemba 2021

Wito wa amani watolewa katika maeneo yenye mizozo Kenya/ Balozi wa Marekani nchini Tanzania amezitembelea kambi za wakimbizi wa Burundi na DRC magharibi mwa Tanzania/ Marais na viongozi wa serikali ulimwenguni wanatarajiwa kuhutubia wiki hii Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko mjini NewYork/ Taliban yawateua manaibu waziri/ Mahakama ya Ulaya yaihusisha Urusi kwenye mauaji ya jasusi

https://p.dw.com/p/40cke