Tanzania: Kuna taarifa zinazosema kwamba viongozi kadhaa wa ngazi ya juu wa chama cha upinzani CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza/ Tanzania yasherehekea sikukuu ya Eid al-Adha leo/ Rais wa Zanzibar ameongoza waumini wa dini ya kiislam katika sala na baraza la Eid kisiwani Pemba/ Macron apatikana kwenye orodha ya udukuzi/ WHO yaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Tokyo