1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Mei 2021

Yametokea makabiliano baina ya polisi wa Israel na Wapalestina karibu na mskiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem// Gavana wa Mombasa nchini Kenya, Hassan Ali Joho, amehukumiwa kifungo cha miezi miwili gerezani au kutoa faini ya shilingi laki mbili unusu// Baa la njaa latishwa nchini Madagascar,Amnesty International lauonya ulimwengu juu ya hali ilivyo kusini mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/3tnBF