1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Februari 2020

Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Horst Seehofer amethibitisha kwamba shambulizi la bunduki lililofanywa juzi Jumatano katika mji wa Hanau lilikuwa ni la kigaidi na lililochochewa na ubaguzi wa rangi// Spika wa bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Jeannine Mabunda amemaliza ziara yake jana jioni mashariki mwa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/3Y9Ss