21.01.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 21.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

21.01.2020 Matangazo ya Mchana

Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutoa salamu zao za pongezi kwa rais mpya wa Marekani, Joe Biden// Maoni: Joe Biden ndiye Rais sahihi wa Marekani wakati huu// Visa vipya vya virusi vya corna vinavyojibadilisha vyazidi kuleta wasiwasi Ulaya//Congo imepiga hatua nzuri licha ya kuendelea kuwepo na makundi ya wapiganaji,amesema kiongozi wa Monusco,Leila Zerougui.

Sikiliza sauti 60:00