20.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 20.11.2020

Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

20.11.2020 Matangazo ya Jioni

Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania IGP Simon Sirro na Kamanda mkuu wa Polisi wa Jamhuri ya Msumbiji Bernardino Rafael wamekutana leo Mkoani Mtwara// Amnesty yaitaka Tanzania ifanye uchunguzi kuhusu madai ya mauaji dhidi ya wanasiasa wa upinzani na wafuasi// Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, ameachiwa huru kwa dhamana leo, siku ya tatu tangu alipotiwa mbaroni.