1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Septemba 2021

Mahakama ya Rwanda yamkuta Rusesabagina na hatia ya ugaidi. Je, hukumu hii ilitarajiwa?/ BWatu wawili wauawa Burundi kufuatia shambulizi la gruneti/ Human Rights Watch: Mamlaka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo haijapiga hatua katika uchunguzi wa ghasia zilizotokea kwenye gereza kuu la Kasapa huko Lubumbashi mnamo Septemba 2020/ Guterres azirai Marekani na China kurekebisha mahusiano yao

https://p.dw.com/p/40ZwU