1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.12.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Desemba 2018

Kongo itafanya uchaguzi siku ya Jumapili ukiwepo uwezekano wa uchaguzi huo kuwa wa kwanza kuleta makabidhiano ya madaraka kwa njia ya kidemokrasi// Wapiga kura kisiwani Madagascar katika bahari ya Hindi wanateremka vituoni hii leo kumchagua rais wao katika duru ya pli ya uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3AMSE