1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.07.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S19 Julai 2020

Shirika la Afya duniani limesema maambukizi ya COVID-19 yanaongezeka ulimwenguni. Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana kwa siku ya tatu leo kujadili mpango wa ufufuaji uchumi. Uchaguzi wa Bunge unafanyika leo nchini Syria.

https://p.dw.com/p/3fXpl