1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Februari 2021

Baraza la uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika limeitaka serikali ya Tanzania kutoa tamko lililonyooka juu ya kuwepo kwa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinavyotokana na ugonjwa huo nchini humo// Utafiti uliotolewa na Shirika la Twaweza la Afrika Mashariki unaeleza kuwa Wakenya sita kati ya 10 hawana uwezo wa kupata lishe mara tatu kwa siku kutokana na athari za janga la ugonjwa wa COVID-19.

https://p.dw.com/p/3pcBv