Maambukizi ya corona yafikia milioni 4.7 ulimwenguni/ Rais Magufuli amesema idadi ya maambukizi ya virusi vya corona imepungua sana nchini humo> Mahojiano/ Watu walionusurika mauaji ya kimbari nchini Rwanda wameziomba ngazi za sheria za Ufaransa kumrejesha Rwanda, Felician Kabuga mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda aliyekamatwa Ufaransa/ Hatimaye serikali ya mseto yatangazwa Israel