18.04.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 18.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

18.04.2019 Matangazo ya Jioni

Wabunge kadhaa nchini Kenya sasa wanataka mali ya Naibu Rais William Ruto ifanyiwe ukaguzi kabla ya uchaguzi mkuu ujao// Uamuzi kutolewa na Mahakama ya juu kabisa nchini Uganda kuhusu suala la kikomo cha umri wa kugombea urais// Baraza la mpito la kijeshi nchini Sudan limetakiwa kutekeleza jukumu lake katika masuala ya haki za binadamu na sheria.

Sikiliza sauti 59:59