18.02.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 18.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.02.2020 Matangazo ya Asubuhi

Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel ya mwaka 2018 Daktari Denis Mukwege anaeleza masikitiko yake kutokana na kuibuka tena kwa ugonjwa wa Ebola huko Butembo mashariki mwa nchi hiyo// Hatua ya serikali ya Uganda kusitisha elimu ya chekechea kwa muda usiojulikana imeibua mjadala miongoni mwa wananchi iwapo utawala huo unathamini ngazi hiyo ya elimu.

Sikiliza sauti 51:59