1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.12.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Desemba 2021

Antonio Guterres amesema itakuwa vigumu kulidhibiti janga la COVID-19 iwapo hakutakuwa na uratibu wa pamoja kimataifa katika vita dhidi ya janga hilo+++EU yaendelea kuiwekea Urusi vikwazo kwa kuichokoza Ukraine+++Mzozo nchini Ethiopia unaendelea kugharimu maisha ya watu kila uchao+++Nchini Kenya raia wametakiwa kuwapa heshima zao watu wenye jinsi mbili, maarufu kwa jina la huntha.

https://p.dw.com/p/44SGr