1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Novemba 2020

Wasiwasi wa kuzuka mzozo kamili wa kibinadamu Tigray/ Trump anatarajiwa kuondoa idadi kubwa ya wanajeshi wa nchi yake kutoka Afghanistan na idadi nyingine ndogo kutoka Irak/ Wasudan Kusini wamekamilisha mdahalo wa kitaifa wa wiki mbili/ Rwanda kufanya upimaji mkubwa wa virusi vya corona shuleni

https://p.dw.com/p/3lR34