17.10.2019 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 17.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

17.10.2019 Matangazo ya Jioni

Bunge la Uingereza kujadili Makubaliano mapya/ Ujumbe wa ngazi ya juu wa Marekani unakabiliwa na jukumu la kuishinikiza Uturuki kusitisha mapigano huko Syria/ Kenya- Wabunge wameyapongeza mabunge ya kaunti 31 yaliyouangusha mswada wa mageuzi ya katiba maarufu punguza mzigo/ Tanzania- Utafiti rasmi wa serikali unaonesha kuwa asilimia 26 ya watu wa Tanzania bara wanaumasikini wa mahitaji ya msingi.

Sikiliza sauti 60:00