1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Juni 2021

WHO: Tanzania kuomba kujiunga na mpango wa COVAX+++Uganda imerikodi idadi ya juu ya vifo kutokana na ugonjwa wa Covid-19 tangu kuanza kwa janga hilo+++Kenya- Mwenda Mbijiwe, mshauri wa masuala ya usalama na mchambuzi wetu hapa DW anaripotiwa kutoweka kwa siku tano sasa+++Urusi yapongeza mkutano wa Biden na Putin+++Guterres awakosoa walinda usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati.

https://p.dw.com/p/3v7Kl