1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.03.2026 Matangazo ya Jioni

DIRA.BZ17 Machi 2026

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Wizara ya ulinzi ya Israel imesema kuwa jeshi la nchi hiyo limemuua afisa mwandamizi wa usalama Ali Larijani na Jenerali Gholam Reza Soleimani anayeongoza kikosi cha kujitolea cha Basij cha Jeshi la IRGC / Rais Zelensky atafanya mazungumzo na waziri mkuu wa Uingereza pamoja na katibu mkuu wa NATO

https://p.dw.com/p/5AYuW