16.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 16.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

16.11.2020 Matangazo ya Jioni

Covid-19: Merkel akutana na magavana wa majimbo 16 ili kutathmini athari za kufungwa kwa baadhi ya shughuli nchini Ujerumani/ Obassanjo yuko njiani kuelekea Ethiopia kwa ajili ya kuanza mazungumzo ya usuluhishi/ Kenya: Shule zote zitafunguliwa kikamilifu tarehe 4 Januari mwakani/ Mo Ibrahim: Afrika yapiga hatua katika utawala bora

Sikiliza sauti 60:00