1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S16 Machi 2021

SIPRI: Kiwango cha mauzo ya silaha kimetuwama ulimwenguni kwa miaka mitano sasa/ Utawala wa rais Biden unataka kujitenga na sera za mtangulizi wake kuhusu uhamiaji/ Tangu Umoja wa Falme za Kiarabu kuanzisha mahusiano yao ya kidiplomasia na Israel, jamii ya Wayahudi katika nchi za ghuba wameanza kukumbatia maisha ya hadharani/ Zambia imeshika hatamu ya uendeshaji wa kampuni kubwa ya madini ya shaba

https://p.dw.com/p/3qg02