15.10.2020 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 15.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.10.2020 Matangazo ya Mchana

Mambo mengine ambayo huangaziwa katika kampeni ni diplomasia, biashara na ushirikiano wa kikanda. Je vyama vya siasa nchini Tanzania vimelipa suala hilo uzito kama sehemu ya ilani zao?// Hii leo ulimwengu unapotambua juhudi za wanawake walio maeneo ya vijijini, mchango wa mwanamke mmoja kutoka eneo la Pokot Mashariki nchini Kenya ni dhahiri hasa katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa wa COVID 19.

Sikiliza sauti 60:00