1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Septemba 2022

Bei ya mafuta na petroli nchini Kenya imepanda kwa shilingi 20/ Huko nchini Tanzania, mjadala mkubwa umeibuka kufuatia Spika wa bunge kushauri matukio ya mauaji /Leo dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya demokrasia/Von der Leyen afanya ziara Kyiv kwa mazungumzo na Zelensky/Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa China Xi Jinping wamekutana ana kwa ana

https://p.dw.com/p/4GwHU