Mkutano wa NATO wakamilika kwa kuzikemea China na Urusi/ Tanzania: Vyama vya siasa vimesikitishwa na kulaani vikali kauli ya chama tawala iliyosisitiza kuwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi si kipaumbele kwa sasa/ Maandamano ya Mayahudi wenye msimamo mkali yazusha wasiwasi Jerusalem Mashariki/ Laschet: Kwa Urusi 'unapaswa kuzungumza zaidi, siyo kidogo'/ Siku ya kuhamasisha umma kuhusu wazee