1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Juni 2020

Harakati za uchaguzi mkuu nchini Tanzania na Zanzibar umeanza rasmi leo// Maafisa wa Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) wamepekua nyumba za wanasiasa wawili wa upinzani, Bi Ingabire Victore na Bwana Ntaganda Bernard, wakikabiliwa na madai ya kuhusika na njama za kigaidi//Shirika la IAEA limeitaka Iran kushirikiana haraka na kikamilifu.

https://p.dw.com/p/3doFO