1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.05.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S15 Mei 2018

Wapalestina wanakumbuka hii leo kile kinachofahamika kama Nakba au janga, ambayo ni siku lilipoundwa taifa la Israel liliundwa mwaka 1948// Wakati duniani ikiadhimisha siku ya familia hii leo, baadhi ya familia nchini Tanzania bado zinakabiliwa na changamoto ya mila na desturi zenye madhara na ukatili wa kijinsia.

https://p.dw.com/p/2xjFH