15.04.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 15.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.04.2021 Matangazo ya Jioni

Ujerumani yataka hatua kali kuzuia wimbi la tatu la Corona/ Usugu dhidi ya dawa: Chanzo cha Malaria kuzidi kuenea Afrika/ Nchini Burundi nyumba zaidi ya elfu 5 zilio kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika tayari zimevamiwa na maji/ Chama cha mawakili Tanganyika TLS kinatarajia kumchagua Rais wake kwa mujibu wa taratibu za kisheria za chama hicho/ Marekani yawafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi.

Sikiliza sauti 59:59