15.02.2020 - Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 15.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.02.2020 - Matangazo ya Asubuhi

Kisa cha kwanza cha Corona barani Afrika chathibitishwa nchini Misri. Umoja wa Mataifa umesema hali ya kiutu nchini Syria ni mbaya. Iran imesema iko tayari kurejea kwenye mkataba wa nyuklia iwapo itapatiwa nafuu za kiuchumi

Sikiliza sauti 51:59