1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.01.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Januari 2021

Mgombea wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, amesema jeshi limeingia nyumbani kwake na kuchukua udhibiti kamili akiongeza kuwa yumo katika matatizo makubwa// Mkutano wa Umuhimu wa amazi utafanyika Zanzibar// Hofu ya UNHCR kuhusu wakimbizi wa Eritrea nchini Ethiopia.

https://p.dw.com/p/3nyx2