1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.10.2022 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S14 Oktoba 2022

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kamati ya bunge la Marekani inayochunguza matukio yaliyopelekea shambulizi la Januari 6, mwaka 2021, ilipiga kura kwa kauli moja hapo, kumtaka Rais wa zamani Donald Trump, afike mbele yake kutoa ushuhuda wake binafsi

https://p.dw.com/p/4IDUf