1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.05.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Mei 2021

Mwanasheria mkuu nchini Kenya ameanza rasmi hatua ya kukata rufaa kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kusitisha mchakato wa maridhiano BBI, uliolenga kuibadili katiba kupitia kura ya maoni// Hofu yazidi kuongezeka Israel na Palestina// ndia imeendelea kushuhudia idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya Corona// Waumini wa Dini ya Kiislam nchini tanzania wametekeleza sala ya eid.

https://p.dw.com/p/3tOC5