1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S14 Mei 2021

Kuongezeka kwa ghasia nchini Israel na katika maeneo ya Palestina kunadhoofisha uhusiano wa Israel na ulimwengu wa Kiarabu// Makundi ya wapinzani na wanaharakati wa haki za binadamu nchini Urusi yanasema mamlaka nchini humo zinatumia utumishi katika jeshi la kujenga taifa kama mbinu ya kuwakomoa na kuwanyamazisha na kuzima upinzani//Guatemala- Wanawake wasiopungua 160 wameuawa kwa miezi minne.

https://p.dw.com/p/3tMhx
Bildergalerie Weltweiter Protest auf den Konflikt zwischen Palästina und Israel
Picha: Majid Asgaripour/WANA/REUTERS