Uganda yajibu shutuma za makundi ya haki za binaadamu kuhusu kuzuiliwa kwa watu kadhaa kwenye mahabusu zake/ Kongo: Amri ya kutotoka nje usiku inayoendelea ili kupambana na usambazaji wa corona itaanza kufanya kazi/ UN yatoa wito kwa serikali za Tanzania na Burundi kuheshimu haki za wakimbizi wa Burundi/ Champions League: Mechi za mkondo wa pili wa robo fainali zaendelea barani Ulaya