1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.05.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Mei 2021

Waislamu wanashereherekea Eid al-Fitr katika hali isiyo ya kawaida kwa mwaka wa pili mfululizo, wakati janga la COVID-19// Jamii ya kimataifa yatoa wito wa amani Israel na Gaza// Rais wa Congo, Felix Tshisekedi ametangaza nia yake ya kuwania muhula wa pili ifikapo mwaka 2023//Watu 9 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 3000 wameathirika kutokana na mafuriko yanayoshuhudiwa nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/3tLKF