13.05.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 13.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

13.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

Ongezeko la machafuko kati ya Israel na Palestina limeiweka kwenye hali ya mshangao serikali ya rais Joe Biden wa Marekani// Kiwango kisicho cha kawaida cha ukame katika nchi nyingi za afrika kimewaacha wataalam na mashirika ya misaada katika wasiwasi mkubwa wa kitisho cha baa la njaa// Nchi nyingi masikini bado zinahangaika ili kupata dozi za chanjo za covid-19.

Sikiliza sauti 52:00