Kenya: Mchakato kumtafuta jaji mkuu mpya waanza Kenya/ Marekani: Maandamano yanaendelea katika jimbo la Minnesota baada ya mtu mmoja aliyepigwa risasi na polisi/ Hali mashariki mwa Ukraine inaendelea kuwa tete/ Burundi: Wanafunzi wa bweni sharti wapime COVID-19/ Urusi yasheherekea miaka 60 ya safari ya kihistoria ya anga