1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.03.2024 Matangazo Ya Mchana

SK2 / S02S13 Machi 2024

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Haiti inajitayarisha kwa serikali mpya siku moja baada ya waziri mkuu Ariel Henry kutangaza kuwa anajiuzulu kufuatia shinikizo lililotokana na kusambaa kwa wimbi la vurugu za magenge ya wahalifu/ Jeshi la Sudan limechukua udhibiti wa makao makuu ya shirika la utangazaji la serikali kutoka kwa wanamgambo wa RSF

https://p.dw.com/p/4dSsY
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus und Matrix
Picha: Klaus Ohlenschläger/picture alliance

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)