13.01.2020 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

13.01.2020 Matangazo ya Jioni

Mataifa matano raia wake waliofariki katika ajali kukutana/ Heiko Maas aionya Iran kuhusu mizozo ya kikanda/ Ujerumani inapanga kufanya mkutano wa kilele tarehe 19 Januari, unaonuiwa kufungua njia ya amani nchini Libya/ Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema, kimesema hakitaususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu, kwa kuwa kina azma ya kushika dola

Sikiliza sauti 60:00